Robert Joseph Hermann

Robert Joseph Hermann (alizaliwa 12 Agosti 1934) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani.

Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la St. Louis, Missouri, kutoka mwaka 2002 hadi 2010.[1]

Marejeo

  1. "Bishop Hermann explains his willingness to die to end abortion". Catholic News Agency (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-11-17.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Information related to Robert Joseph Hermann

Prefix: a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9

Portal di Ensiklopedia Dunia

Kembali kehalaman sebelumnya