Mapapa waliozikwa katika Basilika la Mt. Petro , Vatikano .
Orodha hii inataja Mapapa wote wa Kanisa Katoliki . Jina rasmi la cheo hicho kwa Kilatini ni Episcopus Romanus , maana yake Askofu wa Roma .
Inawezekana kuwa Hermannus Contractus alikuwa mwanahistoria wa kwanza kuorodhesha Mapapa bila kuacha pengo. Orodha yake ilikwenda hadi mwaka wa 1049 ikimtaja Papa Leo IX kama Papa wa 154. Kulingana na hesabu hiyo, Papa wa sasa, Fransisko ni papa wa 268.
Hakuna orodha rasmi ya mapapa, ila kitabu cha Annuario Pontificio kinachotolewa na Vatikano kila mwaka kina orodha inayoangaliwa kama rasmi. Kulingana na kitabu hicho, Fransisko ni papa wa 266[ 1] .
Orodha ya Mapapa
Kuanzia 30 hadi 250
Miaka ya upapa
Jina rasmi
Jina la Kilatini
Jina la kuzaliwa
Mahali pa kuzaliwa
Maelezo
30 – 64 /67
Petro Mtakatifu Petro
Petrus , Apostolus
שמעון בן יונה (Shimon ben Yona) Shimon Kipha, CΙΜΗΟΝ ΚΗΦΑC (Simeon Kephas - Simoni Mwamba - Simoni Petro)
Bethsaida , Galilaya
Mtume wa Yesu ambaye alimpa funguo za Ufalme wa Mbinguni , kufuatana na Injili ya Mathayo 16:18-19. Alisulubiwa kichwa chini miguu juu; sikukuu yake ni 29 Juni
68 (?) – 79 (?)
Linus Mtakatifu Linus
Linus , Episcopus Romanus
Linus
Toscana (Italia ya Kati )
Sikukuu yake ni 23 Septemba
80 (?) – 92
Anacletus (Cletus) Mtakatifu Anacletus
Anacletus , Episcopus Romanus
Anacletus
Roma au Ugiriki
Alifia dini ; sikukuu yake ni 26 Aprili
92 – 96 /99
Klementi I Mtakatifu Klemens I
Clemens , Episcopus Romanus
Roma
Alifia dini; sikukuu yake ni 23 Novemba
96/99 – 108
Evaristus (Aristus) Mtakatifu Evaristus
Evaristus , Episcopus Romanus
Aristus
Mgiriki
Inasemekana alifia dini (ila haijathibitishwa); sikukuu yake ni 26 Oktoba
108/109 – 116 /119
Alexander I Mtakatifu Alexander
Alexander , Episcopus Romanus
Alexander
Roma
Sikukuu yake ni 3 Mei
117 /119 – 126 /128
Sixtus I Mtakatifu Sixtus
Xystus , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 6 Aprili
127 /128 – 137 /138
Telesfori Mtakatifu Telesfori
Telesphorus , Episcopus Romanus
Ugiriki
Sikukuu yake ni 5 Januari
138 – 142 /146
Hyginus Mtakatifu Hyginus
Hyginus , Episcopus Romanus
Ugiriki
Inasemekana alifia dini (ila haijathibitishwa); sikukuu yake ni 11 Januari
142/146 – 157 /161
Pius I Mtakatifu Pius
Pius , Episcopus Romanus
Aquileia , Friuli , Italia
Alifia dini kwa panga ; sikukuu yake ni 11 Julai
157 – 163 /168
Anicetus Mtakatifu Anicetus
Anicetus , Episcopus Romanus
Emesa , Syria
Inasemekana alifia dini (ila haijathibitishwa); sikukuu yake ni 17 Aprili
166 hivi– 170 /177
Soter Mtakatifu Soter
Soterius , Episcopus Romanus
Fondi , Lazio , Italia
Inasemekana alifia dini; sikukuu yake ni 22 Aprili
171/177 – 185 /193
Eleuteri Mtakatifu Eleutherus
Eleutherius , Episcopus Romanus
Nikopoli , Epyrus
Inasemekana alifia dini; sikukuu yake ni 6 Mei
186 /189 – 197 /201
Viktor I Mtakatifu Vikta
Victor , Episcopus Romanus
Afrika ya Kaskazini
Sikukuu yake ni 28 Julai
198 /201 – 217 /218
Zefirino Mtakatifu Zefirino
Zephyrinus , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 20 Desemba
218 – 222
Kalisti I Mtakatifu Kalisti I
Callistus , Episcopus Romanus
Alifia dini; sikukuu yake ni 14 Oktoba
222 – 230
Urban I Mtakatifu Urban I
Urbanus , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 25 Mei
21 Julai 230 – 28 Septemba 235
Ponsyano Mtakatifu Ponsyano
Pontianus , Episcopus Romanus
Roma
Alifia dini; sikukuu yake ni 13 Agosti
21 Novemba 235 – 3 Januari 236
Anterus Mtakatifu Anterus
Anterus , Episcopus Romanus
Ugiriki
Sikukuu yake ni 3 Januari
10 Januari 236 – 20 Januari 250
Fabiani Mtakatifu Fabiani
Fabianus , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 20 Januari
Kuanzia 251 hadi 514
Miaka ya upapa
Jina rasmi
Jina la Kilatini
Jina la kuzaliwa
Mahali pa kuzaliwa
Maelezo
Machi 251 – Juni 253
Korneli Mtakatifu Korneli
Cornelius , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 16 Septemba
25 Juni 253 – 5 Machi 254
Lucius I Mtakatifu Lucius I
Lucius , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 4 Machi
12 Machi 254 – 2 Agosti 257
Stefano I Mtakatifu Stefano I
Stephanus , Episcopus Romanus
Roma
Alifia dini kwa kukatwa kichwa; sikukuu yake ni 2 Agosti
30 Agosti 257 – 6 Agosti 258
Sixtus II Mtakatifu Sixtus II
Xystus Secundus, Episcopus Romanus
Ugiriki
Alifia dini kwa kukatwa kichwa; sikukuu yake ni 7 Agosti
22 Julai 259 – 26 Desemba 268
Dionysius Mtakatifu Dionisi
Dionysius , Episcopus Romanus
labda Ugiriki
Sikukuu yake ni 26 Desemba
5 Januari 269 – 30 Desemba 274
Felix I Mtakatifu Felisi I
Felix , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 30 Desemba
4 Januari 275 – 7 Desemba 283
Eutikiani Mtakatifu Eutikiani
Eutychianus , Episcopus Romanus
Luni
Sikukuu yake ni 8 Desemba
17 Desemba 283 – 22 Aprili 296
Kaio Mtakatifu Kaio
Caius , Episcopus Romanus
Dalmatia
Sikukuu yake ni 22 Aprili
30 Juni 296 – 25 Oktoba 304
Marcellinus Mtakatifu Marselino
Marcellinus , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 26 Aprili
306 – 16 Januari 309
Marcellus I Mtakatifu Marcellus I
Marcellus , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 16 Januari
18 Aprili 309 – 17 Agosti 309 hivi
Eusebius Mtakatifu Eusebius
Eusebius , Episcopus Romanus
Ugiriki
Sikukuu yake ni 26 Septemba
2 Julai 311 – 10 Januari 314
Miltiades Melchiades Mtakatifu Melkiades
Miltiades , Episcopus Romanus
Afrika
Papa wakati wa Hati ya Milano kutolewa na Konstantino Mkuu (313 BK ). Sikukuu yake ni 10 Januari
31 Januari 314 – 31 Desemba 335
Silvesta I Mtakatifu Silvesta I
Silvester , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 31 Desemba au 2 Januari
18 Januari 336 – 7 Oktoba 336
Marko Mtakatifu Marko
Marcus , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 7 Oktoba
6 Februari 337 – 12 Aprili 352
Julius I Mtakatifu Julius
Iulius , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 12 Aprili
17 Mei 352 – 24 Septemba 366
Liberius
Liberius , Episcopus Romanus
Roma
Papa wa kwanza ambaye haheshimiwi kama mtakatifu
1 Oktoba 366 – 11 Desemba 384
Damasus I Mtakatifu Damasi I
Damasus , Episcopus Romanus
Idanha-a-Nova , Ureno
Papa wa kwanza kutoka Ureno . Sikukuu yake ni 11 Desemba
Desemba 384 – 26 Novemba 399
Siricius Mtakatifu Sirisi
Papa Siricius , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 26 Novemba
27 Novemba 399 – 19 Desemba 401
Anastasius I Mtakatifu Anastasi I
Papa Anastasius , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 19 Desemba
22 Desemba 401 – 12 Machi 417
Inosenti I Mtakatifu Inosenti I
Papa Innocentius , Episcopus Romanus
Albano , Lazio
Sikukuu yake ni 12 Machi au 28 Julai
18 Machi 417 – 26 Desemba 418
Zosimus Mtakatifu Zosimus
Papa Zosimus , Episcopus Romanus
Ugiriki
Sikukuu yake ni 27 Desemba
28/29 Desemba 418 – 4 Septemba 422
Bonifasi I Mtakatifu Bonifasi I
Papa Bonifacius , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 4 Septemba
10 Septemba 422 – 27 Julai 432
Selestini I Mtakatifu Selestini I
Papa Coelestinus , Episcopus Romanus
Campania
Sikukuu yake ni 6 Aprili au 8 Aprili
31 Julai 432 – 19 Agosti 440
Sixtus III Mtakatifu Sixtus III
Papa Xystus Tertius, Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 28 Machi
29 Septemba 440 – 10 Novemba 461
Leo I Mtakatifu Leo I Leo Mkuu
Papa Leo Magnus, Episcopus Romanus
Toscana
Mwalimu wa Kanisa . Alimshawishi Attila kuacha uvamizi wa Italia; sikukuu yake ni 10 Novemba
19 Novemba 461 – 29 Februari 468
Hilarius Mtakatifu Hilarius
Papa Hilarius , Episcopus Romanus
Sardegna
Sikukuu yake ni 17 Novemba au 28 Februari
3 Machi 468 – 10 Machi 483
Simplicius Mtakatifu Simplisi
Papa Simplicius , Episcopus Romanus
Tivoli , Italia
Sikukuu yake ni 10 Machi
13 Machi 483 – 25 Februari au 1 Machi 492
Felix III Mtakatifu Felisi III
Papa Felix Tertius, Episcopus Romanus
Roma
Pengine huhesabiwa kama Felix II. Sikukuu yake ni 1 Machi
1 Machi 492 – 21 Novemba 496
Gelasius I Mtakatifu Gelasius I
Papa Gelasius , Episcopus Romanus
Afrika
Sikukuu yake ni 21 Novemba
24 Novemba 496 – 19 Novemba 498
Anastasius II
Papa Anastasius Secundus, Episcopus Romanus
Roma
22 Novemba 498 – 19 Julai 514
Simako Mtakatifu Simako
Papa Symmachus , Episcopus Romanus
Sardinia
Sikukuu yake ni 19 Julai
Kuanzia 514 hadi 752
Miaka ya upapa
Jina rasmi
Jina la Kilatini
Jina la kuzaliwa
Mahali pa kuzaliwa
Maelezo
20 Julai 514 – 6 Agosti 523
Hormisdas Mtakatifu Hormisdas
Papa Hormisdas , Episcopus Romanus
Frosinone , Lazio , Italia
Baba mzazi wa Papa Silverius; sikukuu yake ni 6 Agosti
13 Agosti 523 – 18 Mei 526
Yohane I Mtakatifu Yohane I
Papa Ioannes , Episcopus Romanus
Toscana , Italia ya Kati
Sikukuu yake ni 18 Mei
12 Julai 526 – 20 au 22 Septemba 530
Felix IV Mtakatifu Felisi IV
Papa Felix Quartus, Episcopus Romanus
Samnium (Italia Kusini)
Mara nyingine huhesabiwa kama Felix III
20 au 22 Septemba 530 – 17 Oktoba 532
Bonifasi II
Papa Bonifacius Secundus, Episcopus Romanus
Roma ; wazazi wake walikuwa Waostrogothi
Sikukuu yake ni 22 Septemba
2 Januari 533 – 8 Mei 535
Yohane II
Papa Ioannes Secundus, Episcopus Romanus
Mercurius
Roma
Papa wa kwanza asiyetumia jina lake la kuzaliwa. Sababu ilikuwa kwamba “Mercurius” ni jina la mungu wa Kiroma .
13 Mei 535 – 22 Aprili 536
Agapiti I Agapitus Mtakatifu Agapiti I
Papa Agapetus , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 22 Aprili au 20 Septemba
8 Juni 536 – 11 Novemba (?) 537
Silverius Mtakatifu Silverius
Papa Silverius , Episcopus Romanus
Frosinone
Mwana wa Papa Hormisdas , alipelekwa uhamishoni; sikukuu yake ni 20 Juni .
29 Machi 537 – 7 Juni 555
Vigilius
Papa Vigilius , Episcopus Romanus
Roma
16 Aprili 556 – 4 Machi 561
Pelagius I
Papa Pelagius , Episcopus Romanus
Roma
17 Julai 561 – 13 Julai 574
Yohane III
Papa Ioannes Tertius, Episcopus Romanus
Catelinus
2 Juni 575 – 30 Julai 579
Benedikto I
Papa Benedictus , Episcopus Romanus
Roma
26 Novemba 579 – 7 Februari 590
Pelagius II
Papa Pelagius Secundus, Episcopus Romanus
Roma
3 Septemba 590 – 12 Machi 604
Gregori I , O.S.B. (?) Mtakatifu Gregori I Gregori Mkuu
Papa Gregorius Magnus, Episcopus Romanus
Roma
Mwalimu wa Kanisa. Alikuwa Papa wa kwanza kupitia umonaki na kujiita "Servus servorum Dei " (yaani, Mtumishi wa watumishi wa Mungu) mbali ya "Pontifex Maximus " . Sikukuu yake ni 3 Septemba
13 Septemba (?) 604 – 22 Februari 606
Sabiniani
Papa Sabinianus , Episcopus Romanus
Blera , Viterbo , Italia
19 Februari 607 – 10 Novemba 607
Bonifasi III
Papa Bonifacius Tertius, Episcopus Romanus
Roma
25 Agosti 608 – 8 Mei 615
Bonifasi IV , O.S.B. Mtakatifu Bonifasi IV
Papa Bonifacius Quartus, Episcopus Romanus
Marsi , Italia
Papa wa kwanza aliyetumia jina la Papa aliyemtangulia. Sikukuu yake ni 25 Mei
19 Oktoba 615 – 8 Novemba 618
Adeodatus I
Papa Adeodatus , au Papa Deusdedit Episcopus Romanus
Roma
Mara nyingine huhesabiwa kama Deusdedit, halafu Papa Adeodatus II huitwa Papa Adeodatus bila namba
23 Desemba 619 – 23 Oktoba 625
Papa Bonifasi V
Papa Bonifacius Quintus, Episcopus Romanus
Napoli , Italia
27 Oktoba 625 – 12 Oktoba 638
Honorius I
Papa Honorius , Episcopus Romanus
Campania
Oktoba 638/28 Mei 640 – 2 Agosti 640
Severinus
Papa Severinus , Episcopus Romanus
Roma
Agosti au 24 Desemba 640 – 12 Oktoba 642
Yohane IV
Papa Ioannes Quartus, Episcopus Romanus
Zadar , Dalmatia , siku hizi Kroatia
12 Oktoba au 24 Novemba 642 – 14 Mei 649
Theodoro I
Papa Theodorus , Episcopus Romanus
Yerusalemu , Israeli /Palestina
5 Julai 649 – 16 Septemba 655
Martin I Mtakatifu Martin I
Papa Martinus , Episcopus Romanus
Todi , Umbria
Mfiadini . Sikukuu yake ni 13 Aprili
10 Agosti 654 – 2 Juni 657
Eugenio I Mtakatifu Eugenio I
Papa Eugenius , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 2 Juni
30 Julai 657 – 27 Januari 672
Vitalian Mtakatifu Vitalian
Papa Vitalianus , Episcopus Romanus
Segni , Lazio, Italia
Sikukuu yake ni 27 Januari au 23 Julai
11 Aprili 672 – 16 Juni 676
Adeodatus II , O.S.B.
Papa Adeodatus Secundus, Episcopus Romanus
Roma
Pengine huhesabiwa kama Papa Adeodatus (bila namba) ikiwa Papa Adeodatus I huitwa Papa Deusdedit
2 Novemba 676 – 11 Aprili 678
Donus
Papa Donus , Episcopus Romanus
Roma
27 Juni 678 – 10 Januari 681
Agatho Mtakatifu Agatho
Papa Agatho , Episcopus Romanus
Sicilia
Sikukuu yake ni 10 Januari au 20 Februari
681 /682 – 3 Julai 683
Leo II Mtakatifu Leo II
Papa Leo Secundus, Episcopus Romanus
Sicilia
Sikukuu yake ni 3 Julai
26 Juni 684 – 8 Mei 685
Benedikto II Mtakatifu Benedikto II
Papa Benedictus Secundus, Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 7 Mei
23 Julai 685 – 2 Agosti 686
Yohane V
Papa Ioannes Quintus, Episcopus Romanus
Syria
23 Oktoba 686 – 21 Septemba 687
Conon
Papa Conon , Episcopus Romanus
15 Desemba 687 – 7 Septemba 701
Sergius I Mtakatifu Sergius I
Papa Sergius , Episcopus Romanus
Sicilia
30 Oktoba 701 – 11 Januari 705
Yohane VI Mtakatifu Yohane VI
Papa Ioannes Sextus, Episcopus Romanus
Sikukuu yake ni 8 Septemba
Ugiriki
1 Machi 705 – 18 Oktoba 707
Yohane VII
Papa Ioannes Septimus, Episcopus Romanus
Ugiriki
15 Januari 708 – 4 Februari 708
Sisinnius
Papa Sisinnius , Episcopus Romanus
Syria
25 Machi 708 – 9 Aprili 715
Konstantino
Papa Constantinus , Episcopus Romanus
Syria
Papa wa mwisho kutembelea Ugiriki hadi Yohane Paulo II mwaka 2001
19 Mei 715 – 11 Februari 731
Gregori II Mtakatifu Gregori II
Papa Gregorius Secundus, Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 11 Februari
18 Machi 731 – 28 Novemba 741
Gregori III
Papa Gregorius Tertius, Episcopus Romanus
Syria
3 Desemba 741 – 15 Machi 752
Zakaria Mtakatifu Zakaria
Papa Zacharias , Episcopus Romanus
Ugiriki
Sikukuu yake ni 15 Machi
Kuanzia 752 hadi 1003
Miaka ya upapa
Jina rasmi
Jina la Kilatini
Jina la kuzaliwa
Mahali pa kuzaliwa
Maelezo
23 Machi 752 – 25 Machi 752 Hakuwekwa wakfu kama Papa.
Papa mteule Stefano
Stephanus
Pengine huhesabiwa kama Stefano II. Alifariki siku tatu baada ya uchaguzi wake bila kuwekwa wakfu kama Papa. Aliingizwa katika orodha ya mapapa karne ya 16 lakini aliondolewa tena mwaka 1961 . Kwa hiyo haangaliwi na Kanisa Katoliki kama papa.
26 Machi 752 – 26 Aprili 757
Stefano II
Papa Stephanus Secundus, Episcopus Romanus
Roma
Mara nyingine huhesabiwa kama Stefano III
29 Mei (?) 757 – 28 Juni 767
Paulo I Mtakatifu Paulo I
Papa Paulus , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 28 Juni
1 Agosti (?) 767 – 24 Januari 772
Stefano III
Papa Stephanus Tertius, Episcopus Romanus
Sicilia
Pengine huhesabiwa kama Stefano IV
1 Februari (?) 772 – 25 Desemba 795
Adrian I
Papa Hadrianus , Episcopus Romanus
Roma
26 Desemba 795 – 12 Juni 816
Leo III
Papa Leo Tertius, Episcopus Romanus
Roma
22 Juni 816 – 24 Januari 817
Stefano IV
Papa Stephanus Quartus, Episcopus Romanus
Roma
Pengine huhesabiwa kama Stefano V
25 Januari 817 – 11 Februari 824
Paskali I Mtakatifu Paskali I
Papa Paschalis , Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 11 Februari
8 Mei 824 – Agosti 827
Eugenio II
Papa Eugenius Secundus, Episcopus Romanus
Roma
Agosti 827 – Septemba 827
Valentino
Papa Valentinus , Episcopus Romanus
Roma
827 /828 – 25 Januari 844
Gregori IV
Papa Gregorius Quartus, Episcopus Romanus
Roma
25 Januari 844 – 27 Januari 847
Sergius II
Papa Sergius Secundus, Episcopus Romanus
Roma
Januari 847 – 17 Julai 855
Leo IV , O.S.B. Mtakatifu Leo IV
Papa Leo Quartus, Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 17 Julai
855 – 17 Aprili 858
Benedikto III
Papa Benedictus Tertius, Episcopus Romanus
Roma
24 Aprili 858 – 13 Novemba 867
Nikolasi I Mtakatifu Nikolasi I Nikolasi Mkuu
Papa Nicolaus Magnus Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 13 Novemba
14 Desemba 867 – 14 Desemba 872
Adrian II
Papa Hadrianus Secundus, Episcopus Romanus
Roma
14 Desemba 872 – 16 Desemba 882
Yohane VIII
Papa Ioannes Octavus, Episcopus Romanus
Roma
16 Desemba 882 – 15 Mei 884
Marinus I
Papa Marinus , Episcopus Romanus
Gallese , Viterbo , Italia
17 Mei 884 – Septemba 885 hivi
Adrian III Mtakatifu Adrian III
Papa Hadrianus Tertius, Episcopus Romanus
Roma
Sikukuu yake ni 8 Julai
Septemba 885 – 14 Septemba 891
Stefano V
Papa Stephanus Quintus, Episcopus Romanus
Roma
Pengine huhesabiwa kama Stefano VI
6 Oktoba 891 – 4 Aprili 896
Formosus
Papa Formosus , Episcopus Romanus
Ostia
11 Aprili 896 – 26 Aprili 896
Bonifasi VI
Papa Bonifacius Sextus, Episcopus Romanus
Roma
22 Mei 896 – Agosti 897
Stefano VI
Papa Stephanus Sextus, Episcopus Romanus
Pengine huhesabiwa kama Stefano VII
Julai/Agosti 897 – Novemba 897
Romanus
Papa Romanus , Episcopus Romanus
Gallese, Viterbo, Italia
Desemba 897 – 897 /898
Theodoro II
Papa Theodorus Secundus, Episcopus Romanus
Roma;
Januari 898 – Januari/Mei 900
Yohane IX , O.S.B.
Papa Ioannes Nonus, Episcopus Romanus
Tivoli
900 – 903
Benedikto IV
Papa Benedictus Quartus, Episcopus Romanus
Roma
Julai 903 – Septemba 903
Leo V
Papa Leo Quintus, Episcopus Romanus
Ardea
29 Januari 904 – 14 Aprili 911
Sergius III
Papa Sergius Tertius, Episcopus Romanus
Roma
911 – 913
Anastasius III
Papa Anastasius Tertius, Episcopus Romanus
Roma
Julai/Novemba 913 – Machi 914
Lando
Papa Lando , Episcopus Romanus
Sabina , Italia
Machi/Aprili 914 – Mei/Juni 928
Yohane X
Papa Ioannes Decimus, Episcopus Romanus
Tossignano , Imola , Emilia-Romagna
Mei/Juni 928 – Desemba 928/Januari 929
Leo VI
Papa Leo Sextus, Episcopus Romanus
Roma
Januari 929 – Februari 931
Stefano VII
Papa Stephanus Septimus, Episcopus Romanus
Roma
Pengine huhesabiwa kama Stefano VIII
Machi 931 – Januari 936
Yohane XI
Papa Ioannes Undecimus, Episcopus Romanus
Roma
Januari 936 – 13 Julai 939
Leo VII , O.S.B.
Papa Leo Septimus, Episcopus Romanus
Roma
14 Julai 939 – Oktoba 942
Stefano VIII
Papa Stephanus Octavus, Episcopus Romanus
Roma
Pengine huhesabiwa kama Stefano IX
30 Oktoba 942 – Mei 946
Marinus II
Papa Marinus Secundus, Episcopus Romanus
Roma
10 Mei 946 – Desemba 955
Agapiti II
Papa Agapetus Secundus, Episcopus Romanus
Roma
16 Desemba 955 – 14 Mei 964
Yohane XII
Papa Ioannes Duodecimus, Episcopus Romanus
Octavian
Julai 964 – 1 Machi 965
Leo VIII
Papa Leo Octavus, Episcopus Romanus
Roma
Aliteuliwa na Mfalme Mkuu Otto I mwaka 963 dhidi ya Yohane XII na Benedikto V . Alibaki papa pekee baada ya kujiuzulu kwa Benedikto V.
22 Mei 964 – 23 Juni 964
Benedikto V
Papa Benedictus Quintus, Episcopus Romanus
Roma
Alichaguliwa na watu wa Roma baada ya kifo cha Yohane XII , wakati Leo VIII alipoteuliwa na Mfalme Mkuu Otto ; mwaka 964 Benedikto alijiuzulu na Leo alibaki Papa.
1 Oktoba 965 – 6 Septemba 972
Yohane XIII
Papa Ioannes Tertius Decimus, Episcopus Romanus
19 Januari 973 – Juni 974
Benedikto VI
Papa Benedictus Sextus, Episcopus Romanus
Aliuawa
Oktoba 974 – 10 Julai 983
Benedikto VII
Papa Benedictus Septimus, Episcopus Romanus
Desemba 983 – 20 Agosti 984
Yohane XIV
Papa Ioannes Quartus Decimus, Episcopus Romanus
Pietro Campanora
Pavia , Lombardia , Italia
Agosti 985 – Machi 996
Yohane XV
Papa Ioannes Quintus Decimus, Episcopus Romanus
Roma
3 Mei 996 – 18 Februari 999
Gregori V
Papa Gregorius Quintus, Episcopus Romanus
Bruno wa Carinthia
Papa wa kwanza kutoka Ujerumani
2 Aprili 999 – 12 Mei 1003
Silvesta II
Papa Silvester Secundus, Episcopus Romanus
Gerbert d'Aurillac
mkoa wa Auvergne , Ufaransa
Papa wa kwanza kutoka Ufaransa
Kuanzia 1003 hadi 1254
Miaka ya upapa
Jina rasmi
Jina la Kilatini
Jina la kuzaliwa
Mahali pa kuzaliwa
Maelezo
Juni 1003 – Desemba 1003
Yohane XVII
Papa Ioannes Septimus Decimus, Episcopus Romanus
Siccone
Roma
25 Desemba 1003 – Julai 1009
Yohane XVIII
Papa Ioannes Duodevicesimus, Episcopus Romanus
Giovanni Fasano; Phasianus
Roma
31 Julai 1009 – 12 Mei 1012
Sergius IV
Papa Sergius Quartus, Episcopus Romanus
Pietro Boccapecora
Roma
18 Mei 1012 – 9 Aprili 1024
Benedikto VIII
Papa Benedictus Octavus, Episcopus Romanus
Theophylactus II, wa watawala wa Tusculum
Roma
Aprili/Mei 1024 – 20 Oktoba 1032
Yohane XIX
Papa Ioannes Undevicesimus, Episcopus Romanus
Romanus, wa watawala wa Tusculum
Roma
1032 – 1044
Benedikto IX
Papa Benedictus Nonus, Episcopus Romanus
Theophylactus III wa watawala wa Tusculum
Roma
awamu ya kwanza; alijiuzulu kwa kupewa fedha
1045
Sylvester III
Papa Silvester Tertius, Episcopus Romanus
Yohane, Askofu wa Sabina
Roma
Uchaguzi wake haukuthibitishwa, kwa hiyo haangaliwi kama papa rasmi.
1045 – 1046
Benedikto IX
Papa Benedictus Nonus, Episcopus Romanus
Theophylactus III wa watawala wa Tusculum
Roma
awamu ya pili; aliondolewa katika Mkutano wa Sutri
Aprili/Mei 1045 – 20 Desemba 1046
Gregori VI
Papa Gregorius Sextus, Episcopus Romanus
Johannes Gratianus
Aliondolewa katika Mkutano wa Sutri
24 Desemba 1046 – 9 Oktoba 1047
Klementi II
Papa Clemens Secundus, Episcopus Romanus
Suidger
Saxonia , Ujerumani
Novemba 1047 – 1048
Benedikto IX
Papa Benedictus Nonus, Episcopus Romanus
Theophylactus III wa watawala wa Tusculum
awamu ya tatu; aliondolewa na Kanisa kabisa.
17 Julai 1048 – 9 Agosti 1048
Damasus II
Papa Damasus Secundus, Episcopus Romanus
Poppo
Tirol , Austria
12 Februari 1049 – 19 Aprili 1054
Leo IX Mtakatifu Leo IX
Papa Leo Nonus, Episcopus Romanus
Bruno, Lodi wa Dagsbourg
Alsace , Ufaransa
Sikukuu yake ni 19 Aprili
13 Aprili 1055 – 28 Julai 1057
Vikta II
Papa Viktor Secundus, Episcopus Romanus
Gebhard, Lodi wa Calw , Tollenstein, na Hirschberg
Ujerumani
2 Agosti 1057 – 29 Machi 1058
Stefano IX , O.S.B.
Papa Stephanus Nonus, Episcopus Romanus
Frederic de Lorraine; Frederik wa Lorraine
Pengine huhesabiwa kama Stefano X
6 Desemba 1058 – 27 Julai 1061
Nikolasi II
Papa Nicolaus Secundus, Episcopus Romanus
Gérard de Bourgogne; Gerard wa Burgundy
30 Septemba 1061 – 21 Aprili 1073
Alexander II
Papa Alexander Secundus, Episcopus Romanus
Anselmo da Baggio
Baggio , Milano , Italia
22 Aprili 1073 – 25 Mei 1085
Gregori VII , O.S.B. Mtakatifu Gregori VII
Papa Gregorius Septimus, Episcopus Romanus
Hildebrand
Soana , Toscana , Italia
Aliweka mipaka ya matumizi ya neno "Papa" limaanishe Askofu wa Roma tu. Sikukuu yake ni 25 Mei
24 Mei 1086 – 16 Septemba 1087
Vikta III , O.S.B. Mwenye heri Viktor III
Papa Viktor Tertius, Episcopus Romanus
Desiderio; Desiderius; Dauferius
Italia ya Kusini
Sikukuu yake ni 16 Septemba
12 Machi 1088 – 29 Julai 1099
Urban II , O.S.B. Mwenye heri Urban II
Papa Urbanus Secundus, Episcopus Romanus
Odo wa Lagery
Ufaransa
Alianzisha Vita vya msalaba . Sikukuu yake ni 29 Julai
13 Agosti 1099 – 21 Januari 1118
Paskali II , O.S.B.
Papa Paschalis Secundus, Episcopus Romanus
Raniero
Romagna , Italia
24 Januari 1118 – 28 Januari 1119
Gelasius II , O.S.B.
Papa Gelasius Secundus, Episcopus Romanus
Giovanni Coniulo
Gaeta , Lazio, Italia
2 Februari 1119 – 13 Desemba 1124
Kalisti II
Papa Callistus Secundus, Episcopus Romanus
Guido, Lodi wa Burgundy
Ufaransa
Alifungua Mtaguso wa kwanza wa Laterano mwaka 1123
15 Desemba 1124 – 13 Februari 1130
Honorius II
Papa Honorius Secundus, Episcopus Romanus
Lamberto Scannabecchi
Imola , Romagna, Italia
14 Februari 1130 – 24 Septemba 1143
Inosenti II
Papa Innocentius Secundus, Episcopus Romanus
Gregorio Papareschi
Roma , Italia
Alianzisha Mtaguso wa pili wa Laterano , 1139
26 Septemba 1143 – 8 Machi 1144
Selestini II
Papa Coelestinus Secundus, Episcopus Romanus
Guido
Città di Castello , Umbria , Italia
12 Machi 1144 – 15 Machi 1145
Lucius II
Papa Lucius Secundus, Episcopus Romanus
Gerardo Caccianemici dal Orso
Bologna , Italia
15 Februari 1145 – 8 Julai 1153
Eugenio III , O.Cist. Mwenye heri Eugenio III
Papa Eugenius Tertius, Episcopus Romanus
Bernardo Pignatelli
Pisa , Toskana, Italia
Sikukuu yake ni 8 Julai
8 Julai 1153 – 3 Desemba 1154
Anastasius IV
Papa Anastasius Quartus, Episcopus Romanus
Corrado
Roma
4 Desemba 1154 – 1 Septemba 1159
Adrian IV , Can.Reg.
Papa Hadrianus Quartus, Episcopus Romanus
Nicholas Breakspear
Uingereza
Papa pekee kutoka Uingereza
7 Septemba 1159 – 30 Agosti 1181
Alexander III
Papa Alexander Tertius, Episcopus Romanus
Rolando Bandinelli
Siena , Toskana, Italia
Alianzisha Mtaguso wa tatu wa Laterano , 1179
1 Septemba 1181 – 25 Novemba 1185
Lucius III
Papa Lucius Tertius, Episcopus Romanus
Ubaldo Allucingoli
Lucca , Toskana, Italia
25 Novemba 1185 – 19 Oktoba 1187
Urban III
Papa Urbanus Tertius, Episcopus Romanus
Uberto Crivelli
Milano , Italia
21 Oktoba 1187 – 17 Desemba 1187
Gregori VIII
Papa Gregorius Octavus, Episcopus Romanus
Alberto di Morra
Benevento , Campania , Italia
Alishauri kuanzisha Vita vya msalaba vya tatu
19 Desemba 1187 – 27 Machi 1191
Klementi III
Papa Clemens Tertius, Episcopus Romanus
Paulino Scolari
Roma
30 Machi 1191 – 8 Januari 1198
Selestini III
Papa Coelestinus Tertius, Episcopus Romanus
Giacinto Bobone
Roma
8 Januari 1198 – 16 Julai 1216
Inosenti III
Papa Innocentius Tertius, Episcopus Romanus
Lotario dei Conti di Segni
Gavignano , Lazio, Italia
Alianzisha Mtaguso wa nne wa Laterano , 1215
18 Julai 1216 – 18 Machi 1227
Honorius III
Papa Honorius Tertius, Episcopus Romanus
Cencio Savelli
Roma
19 Machi 1227 – 22 Agosti 1241
Gregori IX
Papa Gregorius Nonus, Episcopus Romanus
Ugolino dei Conti di Segni
Anagni , Lazio, Italia
25 Oktoba 1241 – 10 Novemba 1241
Selestini IV ,
Papa Coelestinus Quartus, Episcopus Romanus
Goffredo Castiglioni
Milano , Italia
25 Juni 1243 – 7 Desemba 1254
Inosenti IV
Papa Innocentius Quartus, Episcopus Romanus
Sinibaldo Fieschi
Genova , Italia
Alifungua Mtaguso wa kwanza wa Lyon , 1245
Kuanzia 1254 hadi 1503
Miaka ya upapa
Jina rasmi
Jina la Kilatini
Jina la kuzaliwa
Mahali pa kuzaliwa
Maelezo
12 Desemba 1254 – 25 Mei 1261
Alexander IV
Papa Alexander Quartus, Episcopus Romanus
Rinaldo dei Conti di Segni; Rinaldo Conti
Anagni, Italia
29 Agosti 1261 – 2 Oktoba 1264
Urban IV
Papa Urbanus Quartus, Episcopus Romanus
Jacques Pantaléon
Troyes , Ufaransa
5 Februari 1265 – 29 Novemba 1268
Klementi IV
Papa Clemens Quartus, Episcopus Romanus
Gui Faucoi le Gros
Mtakatifu-Gilles, Ufaransa
29 Novemba 1268 – 1 Septemba 1271
hakuna papa
1 Septemba 1271 – 10 Januari 1276
Gregori X , Mwenye heri Gregori X
Papa Gregorius Decimus, Episcopus Romanus
Tebaldo Visconti
Piacenza , Emilia-Romagna , Italia
Alianzisha Mtaguso wa pili wa Lyon , 1274. Sikukuu yake ni 10 Januari .
21 Januari 1276 – 22 Juni 1276
Inosenti V , O.P. Mwenye heri Inosenti V
Papa Innocentius Quintus, Episcopus Romanus
Pierre de Tarentaise
Savoy , Ufaransa
Sikukuu yake ni 22 Juni .
11 Julai 1276 – 18 Agosti 1276
Adrian V
Papa Hadrianus Quintus, Episcopus Romanus
Ottobuono Fieschi
Genova, Italia
8 Septemba 1276 – 20 Mei 1277
Yohane XXI
Papa Ioannes Vicesimus Primus, Episcopus Romanus
Pedro Hispano
Lisbon , Ureno
Alikufa maabara yake ya kisayansi ilipoporomoka.
25 Novemba 1277 – 22 Agosti 1280
Nikolasi III ,
Papa Nicolaus Tertius, Episcopus Romanus
Giovanni Gaetano Orsini
Roma, Italia
22 Februari 1281 – 28 Machi 1285
Martin IV
Papa Martinus Quartus, Episcopus Romanus
Simon de Brion
Touraine , Ufaransa
2 Aprili 1285 – 3 Aprili 1287
Honorius IV
Papa Honorius Quartus, Episcopus Romanus
Giacomo Savelli
Roma, Italia
22 Februari 1288 – 4 Aprili 1292
Nikolasi IV , O.F.M.
Papa Nicolaus Quartus, Episcopus Romanus
Girolamo Masci
Ascoli Piceno , Marche , Italia
4 Aprili 1292 – 5 Julai 1294
hakuna papa
5 Julai 1294 – 13 Desemba 1294
Selestini V , O.S.B. Mtakatifu Selestini V
Papa Coelestinus Quintus, Episcopus Romanus
Pietro da Morrone
Molise , Italia
Alijiuzulu. Sikukuu yake ni 22 Juni .
24 Desemba 1294 – 11 Oktoba 1303
Bonifasi VIII
Papa Bonifacius Octavus, Episcopus Romanus
Benedetto Caetani
Anagni, Italia
22 Oktoba 1303 – 7 Julai 1304
Benedikto XI , O.P. Mwenye heri Benedikto XI
Papa Benedictus Undecimus, Episcopus Romanus
Niccolò Boccasini
Treviso , Italia
Sikukuu yake ni 7 Julai .
5 Juni 1305 – 20 Aprili 1314
Klementi V
Papa Clemens Quintus, Episcopus Romanus
Bertrand de Got
Bordeaux , Ufaransa
Upapa wa Avignon . Alilazimishwa kufuta Shirika la Hekalu kwenye Mtaguso wa Vienne , 1311 -1312 .
20 Aprili 1314 – 7 Agosti 1316
hakuna papa
7 Agosti 1316 – 4 Desemba 1334
Yohane XXII
Papa Ioannes Vicesimus Secundus, Episcopus Romanus
Jacques d'Euse; Jacques Duèse
Cahors , Ufaransa
Upapa wa Avignon
20 Desemba 1334 – 25 Aprili 1342
Benedikto XII , O.Cist.
Papa Benedictus Duodecimus, Episcopus Romanus
Jacques Fournier
Saverdun , Ufaransa
Upapa wa Avignon
7 Mei 1342 – 6 Desemba 1352
Klementi VI
Papa Clemens Sextus, Episcopus Romanus
Pierre Roger
Limoges , Ufaransa
Upapa wa Avignon
18 Desemba 1352 – 12 Septemba 1362
Inosenti VI
Papa Innocentius Sextus, Episcopus Romanus
Étienne Aubert; Stefano Aubert
Beyssac , Ufaransa
Upapa wa Avignon
28 Septemba 1362 – 19 Desemba 1370
Urban V , O.S.B. Mwenye heri Urban V
Papa Urbanus Quintus, Episcopus
Guillaume Grimoard; Guillaume de Grimoard
Languedoc , Ufaransa
Upapa wa Avignon . Sikukuu yake ni 19 Desemba .
30 Desemba 1370 – 26 Machi 1378
Gregori XI
Papa Gregorius Undecimus, Episcopus Romanus
Pierre Roger de Beaufort
Limoges, Ufaransa
Upapa wa Avignon ; alirudi Roma
8 Aprili 1378 – 15 Oktoba 1389
Urban VI
Papa Urbanus Sextus, Episcopus Romanus
Bartolomeo Prignano
Napoli, Italia
Farakano la Magharibi
2 Novemba 1389 – 1 Oktoba 1404
Boniface IX
Papa Bonifacius Nonus, Episcopus Romanus
Pietro Tomacelli
Napoli, Italia
Farakano la Magharibi
17 Oktoba 1404 – 6 Novemba 1406
Inosenti VII
Papa Innocentius Septimus, Episcopus Romanus
Cosimo Gentile Migliorati
Abruzzo , Italia
Farakano la Magharibi
30 Novemba 1406 – 4 Julai 1415
Gregori XII
Papa Gregorius Duodecimus, Episcopus Romanus
Angelo Correr
Venice , Italia
Farakano la Magharibi ; alijiuzulu kwenye Mtaguso wa Konstanz .
4 Julai 1415 – 11 Novemba 1417
hakuna papa
11 Novemba 1417 – 20 Februari 1431
Martin V
Papa Martinus Quintus, Episcopus Romanus
Oddone Colonna
Roma, Italia
Alianzisha Mtaguso wa Basel , 1431
3 Machi 1431 – 23 Februari 1447
Eugenio IV , Can.Reg.
Papa Eugenius Quartus, Episcopus Romanus
Gabriele Condulmer
Venice, Italia
Alimvisha taji Mfalme Mkuu Sigismund mjini Roma mwaka 1433 .
6 Machi 1447 – 24 Machi 1455
Nikolasi V ,
Papa Nicolaus Quintus, Episcopus Romanus
Tommaso Parentucelli
Sarzana , Liguria , Italia
Alimvisha taji Mfalme Mkuu Frederick III mjini Roma mwaka 1452 .
8 Aprili 1455 – 6 Agosti 1458
Kalisti III
Papa Callistus Tertius, Episcopus Romanus
Alfonso de Borgia
Xàtiva , Valencia , Hispania
Papa wa kwanza kutoka Hispania
19 Agosti 1458 – 15 Agosti 1464
Pius II
Papa Pius Secundus, Episcopus Romanus
Enea Silvio Piccolomini
Siena, Italia
30 Agosti 1464 – 26 Julai 1471
Paulo II
Papa Paulus Secundus, Episcopus Romanus
Pietro Barbo
Venice, Italia
9 Agosti 1471 – 12 Agosti 1484
Sixtus IV , O.F.M.
Papa Xystus Quartus, Episcopus Romanus
Francesco della Rovere
Savona , Italia
Aliagiza Kikanisa cha Sistina
29 Agosti 1484 – 25 Julai 1492
Inosenti VIII
Papa Innocentius Octavus, Episcopus Romanus
Giovanni Battista Cybo
Genova, Italia
11 Agosti 1492 – 18 Agosti 1503
Alexander VI
Papa Alexander Sextus, Episcopus Romanus
Rodrigo de Lanzòl-Borgia
Xàtiva, Valencia, Hispania
Aligawa dunia yote isiyo Ulaya kati ya Hispania na Ureno mwaka 1493 .
Kuanzia 1503 hadi 1758
Miaka ya upapa
Picha
Jina rasmi
Jina la Kilatini
Jina la kuzaliwa
Mahali pa kuzaliwa
Maelezo
22 Septemba 1503 – 18 Oktoba 1503
Pius III
Papa Pius Tertius, Episcopus Romanus
Francesco Todeschini Piccolomini
Siena, Toscana, Italia
31 Oktoba 1503 – 21 Februari 1513
Julius II ,
Papa Iulius Secundus, Episcopus Romanus
Giuliano della Rovere
Albissola , Savona, Italia
Mpwa wa Sixtus IV; aliitisha Mtaguso wa tano wa Laterano , 1512 .
9 Machi 1513 – 1 Desemba 1521
Leo X
Papa Leo Decimus, Episcopus Romanus
Giovanni di Lorenzo de' Medici
Florence , Italia
Mwana wa Lorenzo de Medici , alimtenga Martin Luther na Kanisa.
9 Januari 1522 – 14 Septemba 1523
Adrian VI
Papa Hadrianus Sextus, Episcopus Romanus
Adriaan Floriszoon Boeyens
Utrecht , Dola la Ujerumani (siku hizi ni Uholanzi )
Papa pekee kutoka Uholanzi na wa mwisho asiye Mwitalia hadi Yohane Paulo II (mwaka 1978 ). Alikuwa mwalimu wa Kaisari Karoli V
26 Novemba 1523 – 25 Septemba 1534
Klementi VII
Papa Clemens Septimus, Episcopus Romanus
Giulio di Giuliano de' Medici
Florence, Italia
13 Oktoba 1534 – 10 Novemba 1549
Paulo III
Papa Paulus Tertius, Episcopus Romanus
Alessandro Farnese
Canino , Viterbo , Italia
Alifungua Mtaguso wa Trento mwaka 1545 .
29 Novemba 1549 – 29 Machi 1555
Julius III
Papa Iulius Tertius, Episcopus Romanus
Giovanni Maria Ciocchi del Monte
Roma, Italia
9 Aprili 1555 – 30 Aprili au 1 Mei 1555
Marcello II
Papa Marcellus Secundus, Episcopus Romanus
Marcello Cervini
Montefano , Macerata , Marche, Italia
23 Mei 1555 – 18 Agosti 1559
Paulo IV
Papa Paulus Quartus, Episcopus Romanus
Giovanni Pietro Carafa
Capriglia , Campania, Italia
26 Desemba 1559 – 9 Desemba 1565
Pius IV
Papa Pius Quartus, Episcopus Romanus
Giovanni Angelo Medici
Milano, Italia
Alifungua upya Mtaguso wa Trento 1562 , na kuumaliza mwaka 1563
7 Januari 1566 – 1 Mei 1572
Pius V , O.P. Mtakatifu Pius V
Papa Pius Quintus, Episcopus Romanus
Michele Ghislieri
Bosco , Alessandria , Italia
Alimtenga Elizabeth I wa Uingereza na Kanisa, 1570 . Sikukuu yake ni 30 Aprili .
13 Mei 1572 – 10 Aprili 1585
Gregori XIII
Papa Gregorius Tertius Decimus, Episcopus Romanus
Ugo Boncompagni
Bologna, Italia
Alibuni Kalenda ya Gregori , 1582
24 Aprili 1585 – 27 Agosti 1590
Sixtus V , O.F.M. Conv.
Papa Xystus Quintus, Episcopus Romanus
Felice Peretti
Grottammare , Marche, Italia
15 Septemba 1590 – 27 Septemba 1590
Urban VII
Papa Urbanus Septimus, Episcopus Romanus
Giovanni Battista Castagna
Roma, Italia
5 Desemba 1590 – 15 /16 Oktoba 1591
Gregori XIV
Papa Gregorius Quartus Decimus, Episcopus Romanus
Niccolò Sfondrati
Cremona , Lombardia, Italia
29 Oktoba 1591 – 30 Desemba 1591
Inosenti IX
Papa Innocentius Nonus, Episcopus Romanus
Giovanni Antonio Facchinetti
Bologna, Italia
30 Januari 1592 – 3 Machi 1605
Klementi VIII
Papa Clemens Octavus, Episcopus Romanus
Ippolito Aldobrandini
Fano , Marche, Italia
1 Aprili 1605 – 27 Aprili 1605
Leo XI
Papa Leo Undecimus, Episcopus Romanus
Alessandro Ottaviano de' Medici
Florence, Italia
16 Mei 1605 – 28 Januari 1621
Paulo V
Papa Paulus Quintus, Episcopus Romanus
Camillo Borghese
Roma, Italia
9 Februari 1621 – 8 Julai 1623
Gregori XV
Papa Gregorius Quintus Decimus, Episcopus Romanus
Alessandro Ludovisi
Bologna, Italia
6 Agosti 1623 – 29 Julai 1644
Urban VIII
Papa Urbanus Octavus, Episcopus Romanus
Maffeo Barberini
Florence, Italia
15 Septemba 1644 – 7 Januari 1655
Inosenti X
Papa Innocentius Decimus, Episcopus Romanus
Giovanni Battista Pamphilj
Roma, Italia
7 Aprili 1655 – 22 Mei 1667
Alexander VII
Papa Alexander Septimus, Episcopus Romanus
Fabio Chigi
Siena, Toscana, Italia
20 Juni 1667 – 9 Desemba 1669
Klementi IX
Papa Clemens Nonus, Episcopus Romanus
Giulio Rospigliosi
Pistoia , Toscana, Italia
29 Aprili 1670 – 22 Julai 1676
Klementi X
Papa Clemens Decimus, Episcopus Romanus
Emilio Altieri
Roma, Italia
21 Septemba 1676 – 11/12 Agosti 1689
Inosenti XI Mwenye heri Innocent XI
Papa Innocentius Undecimus, Episcopus Romanus
Benedetto Odescalchi
Como , Lombardia , Italia
Sikukuu yake ni 22 Agosti .
6 Oktoba 1689 – 1 Februari 1691
Alexander VIII
Papa Alexander Octavus, Episcopus Romanus
Pietro Vito Ottoboni
Padova , Veneto , Italia
12 Julai 1691 – 27 Septemba 1700
Inosenti XII
Papa Innocentius Duodecimus, Episcopus Romanus
Antonio Pignatelli
Spinazzola , Puglia , Italia
23 Novemba 1700 – 19 Machi 1721
Klementi XI
Papa Clemens Undecimus, Episcopus Romanus
Giovanni Francesco Albani
Urbino , Marche, Italia
8 Mei 1721 – 7 Machi 1724
Inosenti XIII
Papa Innocentius Tertius Decimus, Episcopus Romanus
Michelangelo de’ Conti; Mikael Angelo Conti
Poli , Lazio, Italia
29 Mei 1724 – 21 Februari 1730
Benedikto XIII , O.P.
Papa Benedictus Tertius Decimus, Episcopus Romanus
Pierfrancesco Orsini
Gravina , Puglia, Italia
12 Julai 1730 – 6 Februari 1740
Klementi XII
Papa Clemens Duodecimus, Episcopus Romanus
Lorenzo Corsini
Florence, Italia
17 Agosti 1740 – 3 Mei 1758
Benedikto XIV
Papa Benedictus Quartus Decimus, Episcopus Romanus
Prospero Lorenzo Lambertini
Bologna, Italia
Kuanzia 1758 hadi 2005
Miaka ya upapa
Picha
Jina rasmi
Jina la Kilatini
Jina la kuzaliwa
Mahali pa kuzaliwa
Maelezo
6 Julai 1758 – 2 Februari 1769
Klementi XIII
Papa Clemens Tertius Decimus, Episcopus Romanus
Carlo della Torre Rezzonico
Venice, Veneto, Italia
19 Mei 1769 – 22 Septemba 1774
Klementi XIV , O.F.M. Conv.
Papa Clemens Quartus Decimus, Episcopus Romanus
Giovanni Vincenzo Antonio Ganganelli
Sant'Arcangelo di Romagna , Italia
Alifuta Shirika la Yesu .
15 Februari 1775 – 29 Agosti 1799
Pius VI
Papa Pius Sextus, Episcopus Romanus
Giovanni Angelo Braschi
Cesena , Italia
Alilaumu Mapinduzi ya Ufaransa na kufukuzwa na jeshi la Kifaransa kuanzia 1798 hadi kifo chake.
14 Machi 1800 – 20 Agosti 1823
Pius VII , O.S.B.
Papa Pius Septimus, Episcopus Romanus
Barnaba Chiaramonti
Cesena, Italia
Alifukuzwa na jeshi la Kifaransa kutoka 1809 hadi 1814 .
28 Septemba 1823 – 10 Februari 1829
Leo XII
Papa Leo Duodecimus, Episcopus Romanus
Annibale Sermattei della Genga
Fabriano , Marche, Italia
31 Machi 1829 – 1 Desemba 1830
Pius VIII
Papa Pius Octavus, Episcopus Romanus
Francesco Saverio Castiglioni
Cingoli , Marche, Italia
2 Februari 1831 – 1 Juni 1846
Gregori XVI , O.S.B. Cam.
Papa Gregorius Sextus Decimus, Episcopus Romanus
Bartolomeo Alberto Cappellari
Belluno , Veneto, Italia
16 Juni 1846 – 7 Februari 1878
Pius IX , 'Mwenye heri Pius IX
Papa Pius Nonus, Episcopus Romanus
Giovanni Maria Mastai-Ferretti
Senigallia , Marche, Italia
Alifungua Mtaguso wa kwanza wa Vatikano . Sikukuu yake ni 22 Juni .
20 Februari 1878 – 20 Julai 1903
Leo XIII
Papa Leo Tertius Decimus, Episcopus Romanus
Gioacchino Vincenzo Raffaele Luigi Pecci
Carpineto Romano , Lazio, Italia
4 Agosti 1903 – 20 Agosti 1914
Pius X Mtakatifu Pius X
Papa Pius Decimus, Episcopus Romanus
Giuseppe Melchiorre Sarto
Riese , Treviso , Veneto , Italia
Sikukuu yake ni 21 Agosti .
3 Septemba 1914 – 22 Januari 1922
Benedikto XV
Papa Benedictus Quintus Decimus, Episcopus Romanus
Giacomo Della Chiesa
Genova, Italia
6 Februari 1922 – 10 Februari 1939
Pius XI
Papa Pius Undecimus, Episcopus Romanus
Achille Ambrogio Damiano Ratti
Desio, Milan, Italia
Aliutia sahihi Mkataba wa Laterano na Italia ulioanzisha Vatikani kuwa nchi inayojitegemea.
2 Machi 1939 – 9 Oktoba 1958
Pius XII Mtumishi wa Mungu Pius XII
Papa Pius Duodecimus, Episcopus Romanus
Eugenio Maria Giuseppe Giovanni Pacelli
Roma, Italia
28 Oktoba 1958 – 3 Juni 1963
Yohane XXIII Mtakatifu Yohane XXIII
Papa Ioannes Vicesimus Tertius, Episcopus Romanus
Angelo Giuseppe Roncalli
Sotto il Monte , Bergamo , Italia
Alifungua Mtaguso wa pili wa Vatikano ; pengine huitwa "Papa Mwema". Sikukuu yake ni 11 0ktoba .
21 Juni 1963 – 6 Agosti 1978
Paulo VI Mwenye heri Paulo VI
Papa Paulus Sextus, Episcopus Romanus
Giovanni Battista Enrico Antonio Maria Montini
Concesio , Brescia , Italia
Papa wa mwisho aliyevishwa Tiara . Sikukuu yake ni 26 Septemba .
26 Agosti 1978 – 28 Septemba 1978
Yohane Paulo I Mtumishi wa Mungu Yohane Paulo I
Papa Ioannes Paulus Primus, Episcopus Romanus
Albino Luciani
Forno di Canale (sasa Canale d'Agordo ), Veneto, Italia
Papa wa kwanza aliyetumia majina mawili.
16 Oktoba 1978 – 2 Aprili 2005
Yohane Paulo II Mtakatifu Yohane Paulo II
Papa Ioannes Paulus Secundus, Episcopus Romanus
Karol Józef Wojtyła
Wadowice , Poland
Papa wa kwanza kutoka Poland na wa kwanza asiye Mwitalia baada ya miaka 455. Sikukuu yake ni 22 Oktoba .
Tangu 2005 hadi leo
Marejeo
Yohane N.D. Kelly, The Oxford Dictionary of Popes , Oxford University Press, 1986.
AA.VV., Enciclopedia dei Papi , Istituto dell'Enciclopedia italiana, 2000.
Pontificia Amministrazione della Patriarcale Basilica di San Paolo, I Papi. Venti secoli di storia , Libreria Editrice Vaticana, 2002.
Viungo vya nje
↑ https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
Information related to Orodha ya mapapa