"Beat It" ni wimbo wa rock na R&B wa msanii wa rekodi wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo huu ulitungwa na Jackson na kutayarishwa na Quincy Jones kwa ajili ya albamu yake ya sita ya Thriller (1982). Wakati wa utayarishaji wa wimbo huu, Jones aliataka atengeneze rock 'n' roll ya watu weusi kupitia Jackson, lakini, Jackson hakupenda staili hiyo. Wakati wa kurekodi, Eddie Van Halen alijadiliwa aongezee gitaa la solo la rock. Mashairi ya "Beat It" yanazungumzia vikwazo na kutiana moyo, na yanataja maisha yake ya utoto jinsi alivyokuwa akinyanyasika na sura yake.
Chati
Matunukio
Nchi
|
Matunukio
|
Mauzo
|
New Zealand
|
Gold[15]
|
7,500
|
Maelezo
Marejeo
|
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Beat It kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|