"Anytime You Need a Friend" ni wimbo ulioandikwa na kutayarishwa na mwanamuziki wa nchini Marekani Mariah Carey akishirikiana na Walter Afanasief , ambapo wimbo huu ulirekodiwa kama wimbo katika albamu ya studio ya tatu ya mwaka 1993.. ni aina ya wimbo ambao unaweza kufana na wimbo wa kidini, kwani mwimbaji anamwambia mwezi wake kuwa, wakati wowote atakapohitaji rafiki, yeye atakuwa kwa ajili yake. Wimbo huu ulitoka kama single ya nne na ya mwisho katika robo ya tatu ya mwaka 1994. Wimbo huu umefanikiwa kupata tuzo mbalimbali kama vile tuzo ya BMI na pia tuzo ya ASCAP kwa nyimbo zenye miondoko ya pop. Hii ikiwa ni mwaka 1995
.
Orodha ya nyimbo
CD single #1
- "Anytime You Need a Friend" (album version)
- "Anytime You Need a Friend" (Soul convention remix)
CD single #2
- "Anytime You Need a Friend" (album version)
- "Music Box"
U.S. CD maxi-single 1
- "Anytime You Need a Friend" (C+C club version)
- "Anytime You Need a Friend" (Ministry of sound mix)
- "Anytime You Need a Friend" (Dave’s empty pass)
- "Anytime You Need a Friend" (7" mix)
U.S. CD maxi-single 2
- "Anytime You Need a Friend" (Soul convention remix)
- "Anytime You Need a Friend" (Stringapella)
- "Anytime You Need a Friend" (album version)
- "Music Box"
European CD maxi-single
- "Anytime You Need a Friend" (album version)
- "Anytime You Need a Friend" (C+C radio mix)
- "Anytime You Need a Friend" (Soul convention remix)
- "Anytime You Need a Friend" (C+C club version)
- "Anytime You Need a Friend" (Dave’s empty pass)
Chati
Chati (1994)
|
Ilipata nafasi
|
Australian Singles Chart[1]
|
12
|
Austrian Singles Chart[2]
|
25
|
Dutch Singles Chart[3]
|
11
|
European Singles Chart[4]
|
19
|
Finnish Singles Chart[5]
|
1
|
French Singles Chart[6]
|
12
|
German Singles Chart[7]
|
41
|
Irish Singles Chart[8]
|
16
|
Japanese Albums Chart[9]
|
341
|
New Zealand Singles Chart[10]
|
5
|
Swiss Singles Chart[11]
|
15
|
UK Singles Chart[12]
|
8
|
U.S. Billboard Hot 100[13]
|
12
|
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks[13]
|
5
|
U.S. Billboard Hot Dance Club Play[13]
|
1
|
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[13]
|
22
|
Mauzo
1 In Japan, EPs are charting on the albums chart.
Marejeo
|
---|
Studio albamu | |
---|
Kompilesheni | |
---|
Albamu za live | MTV Unplugged (1992) |
---|
Kompilesheni za video | |
---|
Ziara | |
---|
Makala zinazohusiana | |
---|