Adama Traoré IAdama Traoré I
Adama Traoré (alizaliwa 5 Juni 1995) ni mchezaji wa soka nchini Mali ambaye anachezea Ligue 1 nchini Ufaransa klabu Metz na timu ya taifa ya Mali kama winga. Kazi ya klabuMetzMnamo 20 Agosti 2018, baada ya kazi ya kufanikiwa katika klab ya Mazembe, Traoré alijiunga na klabu ya FC Metz kwenye mkataba wa miaka minne. Tarehe 17 Septemba 2018, Traoré alicheza kwa mara ya kwanza mechi ya ligi akiwa na klabu ya Metz, akiingia kama mbadala dakika ya 87 akitoka Opa Nguette katika mechi ambao walipata ushindi wa 3-1 dhidi ya Béziers.Mnamo Januari 2019, alikopwa Orléans hadi mwisho wa msimu. Kazi ya kimataifaTraoré alikuwa sehemu ya timu ya taifa ya mali ya chini ya miaka 20 walioshiriki Kombe la Dunia la FIFA U-20 nchini Uturuki. Alicheza mechi 1 tu ambapo aliingia katika dakika ya 46 akitoka Tiécoro Keita, katika ushindi wa 4-1 dhidi ya timu ya taifa ya Mexico.
Information related to Adama Traoré I |
Portal di Ensiklopedia Dunia