Unguja Kaskazini 'A'![]() Wilaya ya Unguja Kaskazini A ni wilaya mojawapo kati ya 2 za Mkoa wa Unguja Kaskazini yenye postikodi namba 73100.
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilikuwa na jumla ya wakazi 105,780 kati ya hao Wanaume ni 51,566 na Wanawake ni 54,214. [2]. Majimbo ya bungeWakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2012 wilaya hii ilikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
Marejeo
Information related to Unguja Kaskazini 'A' |
Portal di Ensiklopedia Dunia